KA tense

 0    65 Fiche    arudkowska
басу ойын өзіңді тексер
 
сұрақ жауап
(NAR) I bought fish, (and) cooked it with oil, (and) we ate.
оқуды бастаңыз
Nilinunua samaki, nikapika kutumia mafuta, tukala.
(NAR) He/She read the letter, (and) showed it to his/her mother (and) they cried. Mlirudi saf
оқуды бастаңыз
Alisoma barua, akamwonyesha mama yake, wakalia.
(NAR) You (pl.) returned from the trip, (and) brought gifts for my compan- ions (and) forgot to bring me (a gift).
оқуды бастаңыз
Mlirudi safari, mkawaletea wenzangu zawadi, mkasahau kuniletea mimi.
(NAR) We picked tomatoes from the farm, (and) washed them, (and) cooked them (and) ate them.
оқуды бастаңыз
Tulichuma nyanya kutoka shambani, tukazisafisha, tukazipika, tukazila.
(NAR) He/She read the letter, (and) then showed it to his/her mother (and) then they cried.
оқуды бастаңыз
Alisoma barua, halafu akamwonyesha mama yake, halafu wakalia.
(NAR) We went to America, (and) visited Disney World, (and) we were happy.
оқуды бастаңыз
Tulikwenda Marekani, tukatembelea Disney World, tukafurahi.
(NAR) They invited me to the house, (and) they cooked cassava and kidney beans, (and) we ate.
оқуды бастаңыз
Walinialika nyumbani, wakapika muhogo na maharagwe, tukala.
(NAR) The owner contracted the engineer to manufacture a boat, the engineer designed it, (and) bought the materials from Russia, (and) completed the project in two months.
оқуды бастаңыз
Mmilikaji aliagana na mhandisi kutengeneza mashua, mhandisi akaisanifu, akanunua vifaa kutoka Urusi, akamaliza mradi katika miezi miwili.
(NAR) The river flooded, (and) it destroyed our crops, (and) we incurred a loss?
оқуды бастаңыз
Mto ulifurika, ukaharibu mazao yetu, tukapata hasara?
(NAR) The stock market collapsed, (and) many people lost their jobs, (and) decided to reduce their spending.
оқуды бастаңыз
Soko la hisa lilianguka, watu wengi wakapoteza kazi zao, wakaamua kupunguza matumizi yao.
(NAR) The pilot warned the passengers, (and) changed his speed and altitude, (and) continued to travel during the storm.
оқуды бастаңыз
Rubani aliwatahadharisha abiria, akabadili mwendo na mwinuko, akaendelea kusafiri wakati wa tufani.
(NAR) The bird flew, (and) landed on top of a tree, (and) built a nest, (and) sang, (and) slept.
оқуды бастаңыз
Ndege aliruka, akatua juu ya mti, akajenga kiota, akaimba, akalala.
(NAR) The investor planted maize to use it as a crop, (and) kept his/her intention, (and) got a lot of money.
оқуды бастаңыз
Mweka wa kitega uchumi alipanda mahindi kuyatumia kama mazao, akaweka nia yake, akapata pesa nyingi.
(NAR) The albino got a job to drive the train, (and) then he/she worked for a period of twenty years, (and) then retired.
оқуды бастаңыз
Zeruzeru alipata kazi ya kuendesha treni, halafu akafanya kazi kwa muda wa miaka ishirini, halafu akastaafu
(NAR) The truck spilled its cargo, (and) went into the ditch, (and) caught fire.
оқуды бастаңыз
Lori lilimwaga shehena yake, likaangukia katika korongo, likashika moto.
(NAR) I bought fish, (and) cooked it with oil, (and) did not eat (it).
оқуды бастаңыз
Nilinunua samaki, nikapika kutumia mafuta, tusile.
(NAR) We went to America, (and) visited Disney World, (and) we were not happy.
оқуды бастаңыз
Tulikwenda Marekani, tukatembelea Disney World, tusifurahi.
(NAR) They invited me to the house, (and) they did not cook cassava and kidney beans, (and) we did not eat.
оқуды бастаңыз
Walinialika nyumbani, wasipike muhogo na maharagwe, tusile.
(NAR) The owner contracted the engineer to manufacture a boat, the engineer designed it, (and) bought the materials from Russia, (and) did not complete the project in two months.
оқуды бастаңыз
Mmilikaji aliagana na mhandisi kutengeneza mashua, mhandisi akaisanifu, akanunua vifaa kutoka Urusi, asimalize mradi katika miezi miwili.
(NAR) The river flooded, (and) it destroyed our crops, (and) we did not incur a loss?
оқуды бастаңыз
Mto ulifurika, ukaharibu mazao yetu, tusipate hasara?
(NAR) The stock market did not collapse, (and) many people did not lose their jobs, (and) decided not to cut down on their spending.
оқуды бастаңыз
Soko la hisa halikuanguka, watu wengi wasipoteze kazi zao, wasiamue kupunguza matumizi yao.
(NAR) The pilot warned the passengers, (and) changed his speed and altitude, (and) did not continue o travel during the storm.
оқуды бастаңыз
Rubani aliwatahadharisha abiria, akabadili mwendo na mwinuko, asiendelee kusafiri wakati wa tufani
(NAR) The bird flew, (and) landed on top of a tree, (and) built a nest, (and) sang, (and) did not sleep.
оқуды бастаңыз
Ndege aliruka, akatua juu ya mti, akajenga kiota, akaimba, asilale.
(NAR) The investor planted maize to use it as a crop, (and) kept his/her intention, (and) did not get a lot of money.
оқуды бастаңыз
Mweka wa kitega uchumi alipanda mahindi kuyatumia kama mazao, akaweka nia yake, asipate pesa nyingi.
(NAR) The albino got a job to drive the train, (and) then he/she worked for a period of twenty years, (and) then did not retire.
оқуды бастаңыз
Zeruzeru alipata kazi ya kuendesha treni, halafu akafanya kazi kwa muda wa miaka ishirini, halafu asistaafu.
(NAR) The truck spilled its cargo, (and) went into the ditch, (and) did not catch fire.
оқуды бастаңыз
Lori lilimwaga shehena yake, likaangukia katika korongo, lisishike moto.
Let me go (and) buy shampoo.
оқуды бастаңыз
Nikanunue shampuu.
Let them go (and) cultivate the vegetable farm.
оқуды бастаңыз
Wakalime shamba la mboga.
Let the plane go and carry passengers.
оқуды бастаңыз
Ndege ikachukue abiria.
Let me go (and) buy it.
оқуды бастаңыз
Nikainunue.
Let them go (and) cultivate it.
оқуды бастаңыз
Wakalilime.
Let it (the plane) go (and) bring them (the passengers).
оқуды бастаңыз
Ikawachukue.
go and go to read
оқуды бастаңыз
Nenda ukasome
idż czytać
оқуды бастаңыз
ukasome
Would you (sing.) go and read.
оқуды бастаңыз
Uende ukasome.
Let me go (and) finish reading the poem.
оқуды бастаңыз
Nikamalize kusoma shairi.
Would you (pl.) go and give the Kenyan citizens these medicinal drugs.
оқуды бастаңыз
Mkawape wananchi wa Kenya dawa hizi.
Let him/her go and tell them that we have returned from the trip.
оқуды бастаңыз
Akawaambie tumerudi safari.
You (pl.) go and pay the fees for the parking infraction.
оқуды бастаңыз
Nendeni mkalipe faini ya kosa la kuegesha gari.
Let me go and unwrap the Christmas gifts.
оқуды бастаңыз
Nikazongoe zawadi za Krismasi.
Would you (pl.) go and extinguish the fire right now.
оқуды бастаңыз
Mkauzime moto sasa hivi.
Would you (pl.) go and help him/her make bricks.
оқуды бастаңыз
Mende mkamsaidie kufyatua matofali.
Let them go and whisper the whole night.
оқуды бастаңыз
Wakanong’one usiku mzima.
Let us go and visit our grandmother.
оқуды бастаңыз
Twende tukamtembelee bibi yetu.
Let him/her go and feed that crocodile.
оқуды бастаңыз
Akamlishe mamba yule.
Let me not buy shampoo.
оқуды бастаңыз
Nisinunue shampuu.
Let the plane not carry passengers.
оқуды бастаңыз
Ndege isichukue abiria.
Let them not cultivate it.
оқуды бастаңыз
Wasililime.
. Let me not finish reading the poem.
оқуды бастаңыз
Nisimalize kusoma shairi.
Would you (pl.) not give the Kenyan citizens these medicinal drugs.
оқуды бастаңыз
Msiwape wananchi wa Kenya dawa hizi.
Let him/her not tell them that we have returned from the trip.
оқуды бастаңыз
Asiwaambie tumerudi safari.
оқуды бастаңыз
Msilipe faini ya kosa la kuegesha gari.
Let me not unwrap the Christmas gifts.
оқуды бастаңыз
Nisizongoe zawadi za Krismasi.
Would you (pl.) not extinguish the fire right now.
оқуды бастаңыз
Msiuzime moto sasa hivi.
Would you (pl.) not help him/her make bricks.
оқуды бастаңыз
Msimsaidie kufyatua matofali.
Let them not whisper the whole night.
оқуды бастаңыз
Wasinong’one usiku mzima.
Let us not visit our grandmother.
оқуды бастаңыз
Tusimtembelee bibi yetu.
Let him/her not feed that crocodile.
оқуды бастаңыз
Asimlishe mamba yule.
"Person steals President’s watch."
оқуды бастаңыз
Mtu kaiba saa ya mkono ya Rais.
A person stole the President’s watch.
оқуды бастаңыз
Mtu aliiba saa ya mkono ya Rais.
The incumbent parliament member was elected again.
оқуды бастаңыз
Mbunge aliyepo kachaguliwa tena.
Cat kills seven mice in ten minutes.
оқуды бастаңыз
Paka kaua panya saba katika dakika kumi.
Male peacock stolen from zoo.
оқуды бастаңыз
Tausi dume kaibwa kutoka zu.
Window cleaner falls thirty floors.
оқуды бастаңыз
Msafishaji madirisha kaanguka ghorofa thelathini.
Tour guide escapes avalanche.
оқуды бастаңыз
Kiongozi wa watalii kaepuka poromoko la theluji.

Пікір қалдыру үшін жүйеге кіру керек.